IQNA

Bango | Utawala unaoua watoto

Wizara ya Elimu ya Palestina imetangaza kuwa, tangu kuanza mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan mnamo Oktoba 7 2023 hadi mwanzo wa mwaka wa 2024; Wanafunzi 4156, walimu 321 na wafanyakazi wa shule wameuawa shahidi.

Aidha  wanafunzi 7818, walimu 703 na wafanyakazi wa shule wamejeruhiwa hadi sasa katikaa vita viliviyoanza baada ya Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa. Pia, wanafunzi 85 na walimu 71 wamekamatwa huku utawala wa Kizayuni ukiwa umelenga kwa mabomu na makombora shule 92 za umma, mashirika yasiyo ya kiserikali na yenye mafungamano na mashirika ya kimataifa huko Gaza. 

رژیم کودک‌کش